Mtandao wetu wa SautiLink umeboreshwa zaidi 🙌 Tumeongeza na Kuboresha yafuatayo: ✅ Utaweza sasa kuweka Muziki kwenye Videos, picha, Stories, Post za Maandishi ✅ Utaweza kutuma sticker kwenye comments, Message na Rooms ✅ Tumebadilisha Mfumo wa Short videos, sasa icon za Like, Comment na Share zitaonekana kwa chini si pembeni tena (Angalia mfano video hapo juu) ✅ Utaweza sasa kupost picha hadi 10 kwa Post 1 na Video hadi yenye Urefu wa Dakika 3 ✅ Tumerahisisha namna ya Kupata Bluetick katika Mtandao wetu. Content Creators na Wasanii wanapewa Kipaumbele zaidi kupata Bluetick (Huduma hii ni Bure Daima) 🥇 Vigezo. ✅ Ukiwa una search mtu, Mfano anaitwa "Dr. Charles" hata ukiandika "dka charle" utaletewa Mhusika ✅ Tumeanza Kuifanyia Majaribio "Monetisation" feature. Hapo Mbeleni, Maudhui bunifu yataanza kujipatia Kipato. Tunaijenga Pamoja. #1inTanzania | Mtandao wa Vijana Huna SautiLink? Pakua App sasa: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sautilink.app Itapatikana Appstore Soon kwa wenye iPhone.
Open in TelegramPosts of Dr. Charles Channel️
Mtandao wetu wa Kijamii wa SautiLink sasa unapatikana Playstore na soon utakuwepo Appstore kwa wale wenye iPhone. Naomba twende Playstore tuka download, baada ya Kudownload shuka chini sehemu ya "Rate this App” weka Nyota 5 na Maelezo kidogo. Hii utausaidia Mtandao wetu kukaa katika Chat nzuri ya Playstore. SautiLink ni Mtandao wa Kijamii (Kama ilivyo Instagram, X, Facebook) kutoka Tanzania ambao unalenga zaidi Privacy. Naomba pia Ingieni mfanye Majaribio ya Features mbalimbali, sehemu yoyote ambayo utahisi tunapaswa kuboresha basi ingia Playstore kwenye Rating weka maoni hayo kule nitayapitia, lengo tuujenge uwe bora zaidi. Link: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sautilink.app #WaKwanzaTanzania Always Together! 👊
Open in Telegram#VIDEO: Namna ya Kuset "FMX Tunnel VPN” ili Kufurahia Internet ya Bure kwa Line ya Vodacom. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramNimeambiwa kuwa Handsome Fast VPN imeanza kusumbua, Saa 5 Asubuhi leo nitashare nanyi VPN nyingine nzuri zaidi yenye Stability na inayoweza handle high traffic. Ninafuatilia Issue ya Usalama wa VPN hiyo na Speed yake ili niweze kuleta Data zilizo thibitishwa. Kaa hewani! Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in Telegram#VIDEO: Namna ya Kuset "Handsome Fast VPN” ili Kufurahia Internet ya Bure kwa Line ya Vodacom. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramWenye Line za Vodacom, tukutane Saa 2 Usiku leo, kama huna nenda Kasajili. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramApp Name: MovieBox Kifaa/Simu: Android pekee Version: v4.0.03.0922.03 File type: APK ✅ Hujui MovieBox ni nini? - Soma Hapa ✅ Umedownload Video na hujui iko wapi? - Bofya hapa 🚨 DOWNLOAD NEW VERSION Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramWale Ndugu zangu wa Graphics Design (Kuedit Picha/Posters/Flyers) na Wale wa Video Editing. Nimewaambatanishia Fonts 1300+ maarufu na nzuri zaidi ambazo zitawasaidieni kwenye kazi zenu. Fonts hizi ni maalumu kwaajiri ya Graphics Designers, Video Editors na wengine. Kuna fonts zaidi ya 1300+ zenye leseni ya Matumizi Binafsi pekee (personal use only) na sio kwa matumizi ya Ofisi (commercial use). fonts hizi zinafanya kazi kwa karibu katika vifaa vyote (devices) na Apps zote za Editing zinazo support Custom Fonts. SUPPORTED APPS: - Adobe Photoshop (All versions) - Canva (All versions) - Inshot (For Android) - Adobe Apps (Creative Cloud) - Pixellab (Android) - Other Apps that support .ttf & .otf font formats File Password 🔓 @drcharlestz Umekwama sehemu? Just niandikie inbox @drcharlestz | Ni Kosa Kuuza Fonts hizi Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramVersion Mpya ya MovieBox kwa Wenye Simu za Android nitaiweka Kesho, usifute Version ya sasa uliyonayo (hii), lakini ikiwa tayari Umeifuta sio shida pia. Wenye Simu za iPhone pia, kaeni hewani kesho, Nitawapa Njia rahisi ya Kutumia MovieBox katika iOS-based devices (iPhones, iPad & MacOS). Kaa Hewani!
Open in TelegramVersion Maalumu ya MovieBox kwaajiri ya Wenye Android TV, Tazama Movies mbalimbali BURE katika TV yako ukiwa na Wi-Fi.
Open in Telegram🎬 #VIDEO: Namna Rahisi ya Kuona Video zote na Subtitles za Movies ulizo download katika MovieBox. #NOTE: Katika Video hii, View inayoonekana ni ya Laptop/Computer.. Hatua zilizofuatwa humu ndizo pia utazifuata kwa kutumia simu yako ya Mkononi. Ingia katika "Files 📂" kisha fuata hatua katika Video hii. Hujaelewa mahali? 🤔 — Jisikie huru kunitext Inbox @drcharlestz Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramWengi nadhani Changamoto hii Imewakuta, Mna download Video katika MovieBox, then ukienda kwenye Storage yako ya Simu huioni. Issue hii ni Rahisi mno, nawawekea Video hapo Chini muda si mrefu Itawasaidia Kuziona video zote mlizo download na Subtitles zake. Hii Itawasaidieni pia wale Ndugu zangu wenye Library za Movie, kuchukua Movies hizo na Kuzihamisha katika Computer yako. Kaa Hewani! Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramApp Name: MovieBox Kifaa/Simu: Android pekee Version: v4.0.02.0831.03 File type: APK 🔥👉 DOWNLOAD HAPA Kazi ya App hii MovieBox ni App maalumu kwaajiri ya Kuangalia na Kudownload Movies mbalimbali za Netflix na Platform mbalimbali. Ni App ambayo inakupa uwezo wa Kupakua Movies katika Quality ya Juu zaidi (hadi 1080P HD), Movie hizo baada ya Kuzidownload unaweza kuziangalia ukiwa huna internet kwenye simu yako au kuzihamishia katika Flash Disk na kuangalia katika Smart TV, TV ya kawaida au hata katika Laptop. Nini Cha Ziada katika Version hii? Version hii Iko modified, maana yake ni kwamba si Version original. Tumeondoa Matangazo (Ads) na Malipo (Subscriptions), yaani sasa utaweza kuitumia app ya MovieBox bila usumbufu wa Matangazo au Malipo. ⚠️ TAHADHALI Ikiwa una App ya MovieBox, futa kwanza app hiyo kisha ufanye Installation ya version hii. Kamwe Usi UPDATE app/version hii nje na sehemu hii. Una Swali au Maoni? — Niwasilishie Inbox @drcharlestz Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in Telegram