Mtandao wetu wa SautiLink umeboreshwa zaidi 🙌 Tumeongeza na Kuboresha yafuatayo: ✅ Utaweza sasa kuweka Muziki kwenye Videos, picha, Stories, Post za Maandishi ✅ Utaweza kutuma sticker kwenye comments, Message na Rooms ✅ Tumebadilisha Mfumo wa Short videos, sasa icon za Like, Comment na Share zitaonekana kwa chini si pembeni tena (Angalia mfano video hapo juu) ✅ Utaweza sasa kupost picha hadi 10 kwa Post 1 na Video hadi yenye Urefu wa Dakika 3 ✅ Tumerahisisha namna ya Kupata Bluetick katika Mtandao wetu. Content Creators na Wasanii wanapewa Kipaumbele zaidi kupata Bluetick (Huduma hii ni Bure Daima) 🥇 Vigezo. ✅ Ukiwa una search mtu, Mfano anaitwa "Dr. Charles" hata ukiandika "dka charle" utaletewa Mhusika ✅ Tumeanza Kuifanyia Majaribio "Monetisation" feature. Hapo Mbeleni, Maudhui bunifu yataanza kujipatia Kipato. Tunaijenga Pamoja. #1inTanzania | Mtandao wa Vijana Huna SautiLink? Pakua App sasa: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sautilink.app Itapatikana Appstore Soon kwa wenye iPhone.
Open in TelegramDr. Charles Channel️
Tech Tips, Internet Help, Windows Softwares and other Guides Simply in Swahili 🇹🇿 | Dr. Charles' Official Public Channel ___________ 🛠 Anything? — Direct Chat TG @drcharlestz 📧 Email: [email protected] 🚫 Copyrights: [email protected]
Average views per post by day
By publication day
Show as table
| Date | Avg views per post |
|---|---|
| Nov 18, 2026 | 2,130 |
| Nov 28, 2026 | 444 |
Latest posts
Mtandao wetu wa Kijamii wa SautiLink sasa unapatikana Playstore na soon utakuwepo Appstore kwa wale wenye iPhone. Naomba twende Playstore tuka download, baada ya Kudownload shuka chini sehemu ya "Rate this App” weka Nyota 5 na Maelezo kidogo. Hii utausaidia Mtandao wetu kukaa katika Chat nzuri ya Playstore. SautiLink ni Mtandao wa Kijamii (Kama ilivyo Instagram, X, Facebook) kutoka Tanzania ambao unalenga zaidi Privacy. Naomba pia Ingieni mfanye Majaribio ya Features mbalimbali, sehemu yoyote ambayo utahisi tunapaswa kuboresha basi ingia Playstore kwenye Rating weka maoni hayo kule nitayapitia, lengo tuujenge uwe bora zaidi. Link: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sautilink.app #WaKwanzaTanzania Always Together! 👊
Open in Telegram#VIDEO: Namna ya Kuset "FMX Tunnel VPN” ili Kufurahia Internet ya Bure kwa Line ya Vodacom. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramNimeambiwa kuwa Handsome Fast VPN imeanza kusumbua, Saa 5 Asubuhi leo nitashare nanyi VPN nyingine nzuri zaidi yenye Stability na inayoweza handle high traffic. Ninafuatilia Issue ya Usalama wa VPN hiyo na Speed yake ili niweze kuleta Data zilizo thibitishwa. Kaa hewani! Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in Telegram#VIDEO: Namna ya Kuset "Handsome Fast VPN” ili Kufurahia Internet ya Bure kwa Line ya Vodacom. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramWenye Line za Vodacom, tukutane Saa 2 Usiku leo, kama huna nenda Kasajili. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in TelegramApp Name: MovieBox Kifaa/Simu: Android pekee Version: v4.0.03.0922.03 File type: APK ✅ Hujui MovieBox ni nini? - Soma Hapa ✅ Umedownload Video na hujui iko wapi? - Bofya hapa 🚨 DOWNLOAD NEW VERSION Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Open in Telegram